Search

728 results for Hawa Mathias :

  1. Shule sita zafungwa Dar, Mbeya kupisha mvua

    Jana Jumanne, Aprili 23, 2024, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA, ilitangaza mwendelezo wa mvua katika mikoa mbalimbali nchini na kuwataka wananchi kuchukua tahadhar

  2. Mfumo dume unavyowatesa wanawake walima mpunga Mbarali

    Wanawake wananyimwa haki na ushiriki katika kuuza mazao, Serikali imeanzisha elimu na mikakati kupunguza ukatili na kukuza usawa.

  3. Mafuriko yafunga shule nne Kyela, Sh35 milioni kusaidia waathirika

    Mkuu wa mkoa ameagiza kutafutwe maeneo salama kwa ajili ya waathirika kuhamia.

  4. Kaya saba zakosa makazi, Mto Kiwira ukiporomosha udongo

    Mkuu wa Wilaya ametoa tahadhari na ameagiza matengenezo haraka.

  5. Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya, yapata kitanda cha upasuaji cha kisasa

    “Kitanda cha kipekee tofauti na tulivyovizoea kwani kinatumia zaidi teknolojia za kidigitali wakati wa kutoa huduma za upasuaji kwa kutumia kifaa kwa mbali (remote control), jambo ambalo...

  6. Wafamasia, wataalamu wa maabara watajwa chanzo uuzwaji dawa holela

    Wataalamu wa maabara na wafamasia wametakiwa kufuata taratibu za kuziwekea nembo maalumu dawa hizo.

  7. Moravian yapata Askofu Mkuu, kuapishwa Juni 2

    Viongozi wa dini wa ndani na nje ya nchi kutoka mataifa sita duniani sambamba na umoja wa jumuiya ya maridhiano, wanatarajiwa kuhudhuria kuapishwa kwa Mchungaji Pangani

  8. Mvua yakata mawasiliano Rungwe, barabara yafunikwa kwa udongo

    Barabara ya Kapugi - Lyenje kwenye Kijiji cha Ikuti kupitia Mto Kiwira ndiyo imekata mawasiliano baada ya mmomonyoko wa udongo kudondokea

    New Content Item (1)
  9. Maofisa elimu wapewa miezi minane wanafunzi wajue Kiingereza

    Pia, wameagiza wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi la pili kujua kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) ifikapo Desemba 2024

  10. Malisa: Mgogoro wa machinga unadhoofisha ukuaji Soko la Old airport

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa amewataka viongozi wa wafanyabishara wadogo (machinga) Jijini hapa kuweka tofauti zao pembezoni na kutumia uwekezaji wa soko la kisasa la Old airport kama...

Page 1 of 73

Next